Karibu AfyaCareAfya Bora kwa Kila Mkenya!
Tunatoa huduma bora za afya: miadi, mashauriano ya video, blogi ya afya, tips za kila siku, na zaidi. Anza safari yako ya afya bora na timu yetu ya wataalamu leo.
🥤Kunywa maji mengi kila siku ili kudumisha afya ya mwili wako.
🛏️Lala masaa 7-8 usiku na epuka kutumia simu kitandani.
🏃♂️Fanya mazoezi angalau dakika 30 kila siku.
🥗Tumia vyakula vya asili na epuka vyakula vya kusindikwa.
🩺Pima afya yako kila baada ya miezi 3–6.